Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTIMENT KALI SANA INAPANGISHWA, IPO TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI DK (5) KWAMIGUU
MUUNDO
CHUMBA SEBULE JIKO OPEN KITCHEN NA PUBLIC TOILET
INA TILES GYPSUM ALUMINIUMS
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI IPO NDANI YA FENSI FULL PEVING BLOCK
KODI 250,000 X 3
KUONA NYUMBA ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMB
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747