Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


:
APARTMENT INAPANGISHWA
MAHALI-MBEZI BEACH AFRIKANA
KARIBU NA SHULE YA GREEN ACRES
______________
KODI TSHS LAKI 600,000/=KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6
YA KIFAMILIA
Vyumba Viwili vikubwa vya kulala #Vyote ni Masta na Vina #Makabati #Sebule kubwa #Dinning #Jiko zuri kubwa #aircondition #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks
#FencedHouse
PIGA CM 0764575774