Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APATIMENTI INAPANGISHWA
IPO MBEZI MAGUFULI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1,5
BODA 1000/
====
SIFA ZA NYUMBA
>CHUMBA MASTER
>SEBULE
>JIKO NA
>CHOO CHA PABLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASA
====
KODI. 200,000/=X6
KUONA NYUMBA 15000/
DALALI. 200,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0625606710🏠wahiii