Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA MBEZI MWISHO KM2 KUTOKA LAMI
--------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum.
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 15,000/=.
Kodi 300,000/=×6.
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
-----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏