Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI KUBWA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI SHILINGI 500,000/= . IPO MBEZI MWISHO STENDI YA MKOA
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 14/04/2025 KUONA NDANI ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
๐ NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBS 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBILC TOILET
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
#AIR-CONDITION
#PARKING KUBWA
#GARDEN
#FENSI IMEZUNGUSHIWA WAYA WA UMEME
#MAJI DAWASA YAPO MASAA 24
BEI NI 500,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STAND KUU YA MABASI YA MKOANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD YA STAND HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.3 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20,000 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
__
#0677370515