Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
KODI 300000X6
=========
APATIMENT ZIPO MBEZI MWISHO NYUMBA YA STENDI YA MABASI MAKUBWA YA MAGUFURI
==========
UMBALI WA KUTOKA HAPO STENDI DAKIKA 8 KWA MIGUU BODA BODA 1000
==========
BARABARA INAFIKIKA MUDA WOTE
===========
SIFA YA NYUMBA INA VYUMBA VYA KULALA VIWILI KIMOJA MASTA SEBLE JIKO
PUBLIC TOILET
==========
UMEME MAJI KILA NYUMBA INAJITEGEMEA
===========
KWENYE FENSI ZIPO NYUMBA TATU 3
============
PARKING YA KUTOSHA
============
KUPELEKWA KUONA NYUMBA15K
UKILIPA DALALI UNAMLIPA KODI YA MWEZI MMOJA
============
NYUMBA MOJA IPO WAZI
============
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363