Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
NYUMBA INAPANGISHWA MPYAA KABISA IPO MBEZI MWISHO NYUMA YA STENDI YA MAGUFURI
-----------
NYUMBA HII INASIFA ZIFUATAZO
-----------
NYUMBA NIMPYA KABISA
NIVYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA WAPO NI MASTER
------------
UMEME WAKO MAJI YAKO
------
SEBULE KUBWA PAMOJA NA JIKO KUBWA SANA
--------
UMEME WAKO
---------
KODI YA NYUMBA HII NI LAKI3 KWA MWEZI MMOJA
------
ILIPIWE MIEZI6
----------
NDANI YA FENSI KUNA APATMET3 TU AMBAZO NI MASTER
----------
UMBALI UKITOKEA STENDI YA MAGUFURI NI KILOMETA1
----------
NYUMBA HII IPO JUU YA GOROFA
----------
KUONA NYUMBA HII15000
------------
DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPAPO NYUMBA
CALL 0659244543