Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
NI APARTMENT NZURI YA KUPANGA
.
.
APARTMENT ZIPO MBEZI MAKABE MSAKUZI KITUO KWA LUBABA
USAFIR DALADALA 700
.
KODI NI 100,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 3, 4, 5, NAKUENDELEA
.
.
SIFA ZAKE
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA NA SEBULE KUBWA
.
.
LUKU NI YA KUSHEA 2 NA MAJI YAPO
.
.
INA TILES GYPSUM ALUMINUM SAFI KAMA UNAVYOONA MWENYEWE APO
.
.
IPO KWENYE FENS BADO KUWEKA GETI
.
.
SERVICHAJ ELIFU 15
CALL 0659244543