Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM
MAHALI _  SALASALA IPTL
_#0714955886whatsapp _____________________
ULIPI ULINZI USAFI NA MAJI VYOTE VIMEJUISHWA KWENYE KODI UNALIPA UMEME TU AMBAO LUKU YAKO 
#CHUMBA_SEBULE_JIKO_CHOO#
KODI  TSHS LAKI  700,000/=KWA MWEZI
——
MALIPO YA MIEZI 3
________________
NEW APART  APARTMENT 
_____________
YA KIBACHELA 
_______
YENYE:-
Chumba kimoja tu cha kulala #Ambacho kına kabati Ac Na  Sebule 
#na # Jiko Lenye Makabati 
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#pervingblocks 
FencedApart 
————
Nione 
Dalali usama mbezi beach
0683584418
0714955886 ya WhatsApp




















