Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT
DATE OF ANNOUNCEMENT 04/03/24
__________________________________
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NDIO INAJENGWA MDAU
NI MBEZI KWA MSUGURI DSLM
KM 2 TOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BAJAJ UPO 24 HRS
BEI NI 150,000/= KWA MWEZI
MALIPO NI KWA MIEZI SITA TU
____________________________________
Contact
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030