Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







KODI 250000X6
=====
APARTMENTS ZIPO MBEZI MWISHO NJIA YA MALAMBA MWISHO
==========
UKISHUKA
KWENDA KWENYE NYUMBA KUTEMBEA KWA MIGUU DAKIKA 12
BODA BODA 1000
ZIPO NYUMBA MBILI KWENYE FENSI MOJA
======
SIFA YA NYUMBA
INA VYUMBA VYA KULALA VIWILI HAKUNA MASTER
CHOO NI PUBLIC
JIKO LIPO KUBWA SANA
SEBULE KUBWA SANA
=======
UMEME KILA NYUMBA INAJITEGEMEA MAJI YA KUSHEA
======
NYUMBA MPYA
======
KUPELEKWA KUONA NYUMBA 15K
0679447338
0753454167