Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


250,000 x6
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI 
——
BEI NAFUU SANAA HII KAMA HUAMINI NJOO UIONE BEBA NA HELA KABISAA 
🥕Chumba Master)
🥕Sebule kubwa 
🥕Jiko Kubwa
🥕Umeme unajitegemea Maji Dawasa
250,000/=
DK  6 KUTEMBEA NI KARIBU KABISA NA BARABARA 
MAWASILIANO
ENDAPO MTEJA UTAPENDA NYUMBA UTALIPA HELA YA MWEZI MMOJA KWA DALALI 
Service charge 15,000/=
0652 508128 
0753 989554 
=====




















