Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(150,000X3)MBEZI MWISHO NJIA YA MPIJI MAGOHE , (KIBAONI) DALADALA 700 BAJAJI , ZIPO
====
SIFA ZA NYUMBA 
CHUMBA MASTER
SEBULE 
JIKO
UMEME SABMITA 
MAJI DAWASA YANATOKA CHOONI NA JIKONI
IPO NDANI YA FENSI PAKING  SPESI KUBWA
=====
KODI. 150,000/=X3
KUONA  NYUMBA 15000/
DALALI. 150,000/=
PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
NYUMBA ITAKUA WAZI TAREHE  30/6/2025
KUONA NA KULIPIA RUKSA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024



















