Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


MASTER KIKUBWA NA JIKO LAKE 150,000 × 4 MBEZI MWISHO STAND MPYA NJIA YA MPIGI MAGOHE
Maji dawasco yanatoka ndani masaa 24 na luku mnashea wawili tu
Na ipo kwenye fensi moja na hii moja ndio ipo wazi
Ipo MBEZI MWISHO njia ya kuelekea Mpigi Magohe kutoka Morogoro Road hadi kwenye nyumba ni dakika 15 tuu kwa miguu
Bei ni 150k x 4,5,.... Unaweza kulipa kuanzia miezi 4 na kuendelea
SERVICE Charge ni shillingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300
KWA HUDUMA YA HARAKA PIGA SIMU KAWAIDA