Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
💥#APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE
#JIKO KUBWA
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
#GARDEN
BEI NI 180K X 3
ILIPWE LAKI 1 NA ELFU 80 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
🏘️ APARTMENT HII IPO #KIMARA_TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
#KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
#SERVICER_CHARGER_15000
#DALALI_AMBWENE_UBUNGO
#0712348316Whatsp
#0769680796 whtsp