Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


#APARTMENT MZURI INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
SIFA ZAKE
#Chumba cha kulaala
#Sebule
#Choo cha ndani
#Jiko la Njee
#Nyumba ipo ndani ya fence
#Umeme (SUBMITER)
Bei ni 200,000/=×6
Nyumba ipo kilometa 2 Kutoka morogoro road Barabara safi lami ya zege UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI Usafili upo wa bajaji 700 UNA HAJA YA BODA
Contact 0764575774
#
#