Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(200,000 Γ 6) π ππππ ππͺπ π π¦π¨ππ¨π₯π
βββββββββ
APARTMENT NZURI INAFAULISHWA INAFAULISHWA MBEZI KWA MSUGURI
KUNA MTU NDANI ILA IKILIPIWA MPANGAJI ANAONDOKA MUDA WOWOTE
# CHUMBA MASTER
# SEBULE KUBWA
# JIKO ZURI LA KWAKO LIPO PEMBENI FULL KABATI
# A/c inafanyakazi
# UMEME NA MAJI UNAJITEGEMEA
NYUMBA IPONDANI YA FENCE
BEI NI 200,000 Γ 6 ILIPWE LAKI MBILI KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO ROOD KM 1.5
USAFIRI UPO BAJAJI 700
BODA 1000
SERVICE CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
CONTACT:
0654101710
0787205300