Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Hii ni nyumba nzima inapangishwa ipo mbezi malamba Ina vyumba vitatu vya kulala sebule dining master bedroom public toilet ndani ndani ya fence dk 3 kutoka Barabaran
Bei 350,000 x 6
Service charge 15000
Call 0686 152331