Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA STAND ALONE 500,000/=× 6
NI HATARI SANAA HII NYUMBA 😂 🙌 🤸
MPYA KABISA
------------------------------
📌Mahali #MBEZI MWISHO - MAGUFULI TERMINAL (Dsm) 🇹🇿
DAKIKA 7-8 KWA MIGUU
Sehemu nzuri sana
_______________________________________
MUUNDO
✔️Vyumba 04 _ Master 01
✔️Sebule Nzuri Kubwa
✔️Jiko ndani
✔️Dinning
✔️ Public toilet safi ndani
✔️ Parking Nzuri
✔️Nyumba nzuri &Ya kisasa
✔️Maji ndani
✔️ Reserve Tank
_______________________________________
HUDUMA (UNAJITEGEMEA)
✔️Maji Mita Yako
✔️Umeme #LUKU YAKO
📌Ndani ya FENCE & Parking Ipo KUBWA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI;
500,000\/= TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6 + mwezi mmoja wa dalali
,‼️Pesa ya Tahadhari 500,000 izingatiwe
_________________________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 20,000
______________________
CONT
0683234124
0718367179