Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI
---------
Chumba kikubwa
Seble kubwa
Jiko
Public toilet ndani
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-----------
Service charge 20,000/=
Kodi 700,000/=×6
-------------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 7
--------------
Contact
#0676_218580 (WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach🇹🇿