Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
STAND ALONE
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI:
MBEZI BEACHI TANKI BOVU
UMBALI: DAKIKA 5 TU KWA MIGUU KUTOKA LAMI HADI KWA NYUMBA
______________
KODI 600,000/= tsh KWA MWEZI
_________________
MALIPO YA MIEZI 6
________________
_____________
HIZI NI NZURI
_______
YENYE:-
Vyumba VI 2 vya kulala #KIMOJA ni Masta Na #Sebule #Dinning #Jiko zuri kubwa lenye #makabati Na #Stoo #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks
#FencedApartment
SERVICE CHARGE YA KUONYESHWA NYUMBA NI 25K
____________
Call
📲 0625584914