Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA STAND ALONE 1,000,000/=× 6
------------------------------
📌Mahali #KIBANDA CHA MKAA - MBEZI(Dsm) 🇹🇿
DAKIKA 9 -10 KWA MIGUU
Sehemu nzuri sana
_______________________________________
MUUNDO
✔️Vyumba 05 _ Master 01
✔️Sebule Nzuri Kubwa
✔️Jiko ndani Kubwa(Makabati)
✔️Dinning
✔️ Public toilet safi ndani
✔️ Parking Nzuri
✔️Nyumba nzuri &Ya kisasa
✔️Maji ndani
✔️ Reserve Tank
_______________________________________
HUDUMA (UNAJITEGEMEA)
✔️Maji Mita Yako
✔️Umeme #LUKU YAKO
📌Ndani ya FENCE & Parking Ipo KUBWA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI;
1,000,000\/= TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 6 + mwezi mmoja wa dalali
_________________________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 20,000
______________________
PLEASE CALL ME:: 0672 673363