Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


Inapangishwa 
Sifa  zake  vyumba 2 
Kimoja  masta 
Sebule 
Joko
Public toilet 
Ndani yafens zipo  3
Kilamoja  inajitegemea umeme namaji  inajitegemea 
Location  mbezi  sitendi yabasi  magufuri 
Kod  300k  miezi 6 
Km 1 kutoka magufuri
Service charge elfu 15. Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali 
# Simu 0757 404087




















