Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA IPO SEHEMU NZURI INAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 250,000/= X 6
ILIPWE LAKI 250,000 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO MBEZI LUGURUNI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MKOANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI 1.7KM TUU
BODA 1000
๐ฅ PAVING BLOCK ZINAWEKWAAAA ONDOA SHAKA KABISAA ๐ฅ
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0715949085
0782838336