Nyumba inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


VYUMBA V2 VYA KULALA SEBLE KUBWA JIKO NA CHOO( KIMOJA MASTAR)
IPO MBEZI BEACH SHULE
DAKIKA 5 TU,.KUTOKA LAMI HADI KWA NYUMBA
ZIPO 2 KWENYE COMPOUND MOJA
BEI LAKI 500,000/ KWA MWEZI
MUDA WA MALIPO MIEZI 6
KWA MAELEKEZO ZAIDI PGA SIM
📲 0682 402 327 📶
📲 0653 267 999 📶 ya WhatsApp