Nyumba inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


HOUSE FOR RENT, MBWENI KWA SHAMTE.
Nyumba ipo sehemu nzuri imetulia sana,
Ipo Mita 50 Kutoka Lami.
3Bedrooms
2 Master bedrooms, 1 has a bathroom.
Parking kubwa.
Nyumba ina Vyumba vikubwa Sebule kubwa pia.
Renting price: 600,000
Payment terms, 6months.
Please call: 0652 502 988.
Karibuni sana.