Nyumba inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 80,000 per sqm
Project
Yes

MBWENI, MBWENI MALINDI

➡️ Eneo la Viwanja linaangalia barabara kubwa kabisa inayojengwa lami muda sio mrefu.

➡️ Hapa tumepima viwanja 8 tu na vyote vipo sehemu ambayo unatoka barabara kubwa unaingia ndani kwako hapo hapo.

➡️ Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri, nadhan mbweni wengi mnaijua kwa kupangika.

➡️ Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

➡️ Viwanja vipo sehemu ambayo unapata upepo wa bahari vizuri sana.

➡️ Suala la miundombinu yote ipo hapohapo site sijui maji sijui umeme na majirani waliopangika na kujenga nyumba nzuri hapo hapo.

●●● Watu wa kujenga apartments hapa panawafaa pia tena sana maana kuna upepo wa bahari wa kutosha.

𝗕𝗘𝗜 𝗭𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔 𝗡𝗔 𝗨𝗞𝗨𝗕𝗪𝗔 𝗪𝗔𝗞𝗘

Hapa tunauza sqm 1 kwa 80,000/=. Yaani tunamaanisha ukiwa na 50MILIONI unapata kiwanja hapa ushuani kabisa.

Ukubwa wa viwanja umeanzia sqm 602 mpaka sqm 1500.

Inamaana ukihitaji kiwanja kikubwa zaidi unaruhusiwa kuunganisha viwanja viwili hadi vitatu ili mradi upate ukubwa unaotaka wewe.

Malipo ya hapa ni mkopo wa miezi 2, utaanza na 50% ya bei ya kiwanja halafu inayobaki utamaliza ndani ya miezi 2.

𝗨𝗠𝗕𝗔𝗟𝗜 𝗪𝗔 𝗣𝗥𝗢𝗝𝗘𝗖𝗧 𝗬𝗔 𝗩𝗜𝗪𝗔𝗡𝗝𝗔

Hakuna umbali wowote maana eneo limegusa barabara kubwa yaani mbweni road.

𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗘𝗟𝗘𝗭𝗢 𝗭𝗔𝗜𝗗𝗜 𝗧𝗨𝗣𝗜𝗚𝗜𝗘 𝗡𝗔𝗠𝗕𝗔 𝗛𝗜𝗭𝗜
#0713132109 [Call and Whatsapp]
#0713132109 [Call and Whatsapp]

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Mradi huu unauzwa na Sustainable Cities Company Limited na kampuni ndio imepima, inamiliki na yenye mamlaka ya kupauza hapa.

Tunajari wateja wetu.

Pia usisahau kutuFollow sustainablecities_company
sustainablecities_company sustainablecities_company

Fika ofisini kwetu 𝗧𝗘𝗩𝗜 𝗖𝗢𝗠𝗠𝗘𝗥𝗖𝗜𝗔𝗟 𝗣𝗔𝗥𝗞(𝗶𝗹𝗶𝗽𝗼 𝗡𝗕𝗖 𝗕𝗔𝗡𝗞), 𝗠𝗕𝗘𝗭𝗜 𝗕𝗘𝗔𝗖𝗛 𝗧𝗔𝗡𝗞𝗜 𝗕𝗢𝗩𝗨 - 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠.

sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI
sustainablecities_company
sustainable cities company ltd.......VIWANJA,MASHAMBA NA MAKAZI

Similar items by location

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 680,000,000

NYUMBA INAUZWA IKO MBWENI DSMBEI NI MIL 680 TshsUKUBWA WA KIWANJA NI SQM 1200INA VYUMBA VITANO VYA K...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,700,000,000

*2 ONE STOREY HOUSES IN ONE COMPOUND FOR SALE IN MBWENI JKT-BLOCK 4**Neighborhood* Well organized an...

Nyumba inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 230,000

Two bedroom apartment at Mbweni Only 15 Minutes from Ferry and 7 Minutes from AirportTwo bedroom apa...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,700,000,000

*2 ONE STOREY HOUSES IN ONE COMPOUND FOR SALE IN MBWENI JKT-BLOCK 4**Neighborhood* Well organized an...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 650,000,000

HOUSE FOR SALETSH : 650 MPLOT : SQM 1100NUMBER OF ROOMS : FOUR 👌MBWENI JKT

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,700,000,000

*2 ONE STOREY HOUSES IN ONE COMPOUND FOR SALE IN MBWENI JKT-BLOCK 4**Neighborhood* Well organized an...

Nyumba ya vyumba vinne inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 2,000,000

New house for rentFour bedroomLocated at mbweni Price 2 M per month#0712464777#0769070247

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 185,000,000

Plot for saleSqm 1485Mbweni Mpijidocument ( title deed )Price Tsh 185 MMwembamba real estate 🏡#071...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

Plot for saleSqm 557Mbweni Mpijidocument ( title deed )Price Tsh 80 MMwembamba real estate 🏡#07124...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 100,000

For Sale: 10 BDR,STYLISH HOMES ON A COMPOUND,$ 1.7 MILLION AT MBWENI,DAR ES SALAAM.TWO Newly and Lov...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 80,000,000

Plot for saleSqmts: 781Location: Mbweni MpijiPrice: Million 80Plot ina hati miliki na kama unavyoona...

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,700,000,000

*2 ONE STOREY HOUSES IN ONE COMPOUND FOR SALE IN MBWENI JKT-BLOCK 4**Neighborhood* Well organized an...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000,000

House for Sale – Mbweni MalindiA stunning family home sitting on 891 sqm of land, offering space, co...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 135,000,000

PLOT FOR SALE AT MBWENI MPIJI SQM 888PRICE MILLION 135 MAONGEZI

Nyumba ya vyumba vitano inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 1,700,000,000

*2 ONE STOREY HOUSES IN ONE COMPOUND FOR SALE IN MBWENI JKT-BLOCK 4**Neighborhood* Well organized an...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 138,000,000

KIWANJA KINAUZWABEI NI MIL 138 TshsKIPO MBWENI JKT USALAMAKINA HATI MILIKI YA WIZARAUKUBWA NI SQM 45...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 135,000,000

KIWANJA KINAUZWA TSH MIL 135SQM 600MBWENI JKT07124647770769070247

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000,000

KIWANJA KINAUZWATSH 500MSQM 1600MBWENI JKT BLOCK 6KINA TAZAMA BARABARA YA LAMIKIPO METER 500 KWENDA ...

Kiwanja kinauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 160,000,000

Kiwanja kinauzwa kiwanja kipo mbweni tetaKiwanja kina ukubwa wa sqm 1600 Kiwanja kina hati miliki t...

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mbweni, Dar Es Salaam

Sh. 365,000,000

NYUMBA INAUZWA Tsh MIL 365MAONGEZI YAPOIPO MBWENI MALINDI ESTATEUKUBWA KIWANJA CHAKE SQM 700INA HAT...