Nyumba inapangishwa Miyuji, Dodoma
NYUMBA NZURI SANA INAPANGISHWA
-IKO PEKEAKE KWENYE FENCE
-FULL AC
_________________
MAHALI- MIPANGO MIYUJI
_________________
MUUNDO
-Vyumba V3 vya kulalaa (02 MASTER)
-sebule
-Dining
-Store
-jiko zuri
-Public toilet
(NB; NYUMBA KUBWA INA VYUMBA V2 VYOTE SELF KIMOJA KIPO NJE KAMA SERVANT KOTA)
__________________
HUDUMA
-FULL AC
-ELECTRIC FENCE
-HEATER BAFUNI
-Maji yapo muda wote
-Umeme upo unajitegemea
-Parking space kubwa
-Iko ndani ya fence
-usalama wa kutosha
__________________________
MALIPO
~Bei ni 500,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 6+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA
☎️ MAWASILIANO
+255625631258
#fypシ #treanding