Nyumba inapangishwa Mjimwema, Dar Es Salaam
House for rent
NYUMBA INAPANGISHWA
👉VYUMBA VINNE KIMOJA MASTA SEBULE NA JIKO PAMOJA NA DAINING PIA INA MAKABAT CHUMBANI NA JIKON PIA INAJITEGEMEA PEKE YAKE NDAN YA FENSI NA IPO KARIBU NA LAMI NYUMBA NZURI SANA
👉 LOCATION; KIBUGUMO MJIMWEMA
👉BEI; LAKI NNE NA NUSU (450,000)
👉PIGA SIMU; 0716740427
👉 service charge 25,000/= usafiri juu yangu boss Zingatia utaratibu huduma uhakika pia tunashauri mteja kupata nyumba nzuri
👉follow dalali_kigamboni_27
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#wasafi #dalalikigamboni27 #dalali #dalalikigamboni #wasafitv #exprolepage #exprole #diamondplatnumz #darmpya #daresalaam