Nyumba inapangishwa Mkalama, Morogoro


APARTMENT NZURI SANA MPYAš“
šMAHALI- MKALAMA
___________________________
MUUNDO
āMASTER +SEBULE+JIKO
āPublic toilet za nje
āPazuri sana
HUDUMA
āIpo ndani ya fence
āumeme na maji vipo
ā UNAJITEFEMEA UMEME
āpazur sana kma unavoona
NB: MBALI NA LAMIš
š°BEIā 200,000@month
Muda wa malipo miez 06+
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja atalipa mteja
Gharama za kwenda site 10k
š 0657122976 CALLS & WHATSAPP
---------------------