Nyumba inapangishwa Mlimani, Morogoro


-HOUSE FOR SALE / PLOT FOR SALE
LOCATION : NEAR MLIMANI CITY
❗MITA 100 kutoka LAMI
LAND SIZE : 1,169SQM
ASKING PRICE : 600Million ( Negotiable )
📝 Documents Available : HATI IPO
📢SABABU YA KUNUNUA HILI ENEO
-Eneo lipo sehemu nzuri na eneo ambalo uhitaji wa nyumba za makazi ni mkubwa.
-Eneo lipo Karibu sana na Mlimani city kwahiyo unaweza fanya uwekezaji wa Airbnb Apartments
-Ni karibu na chuo cha udsm na ARDHI kwahiyo unaweza fanya uwekezaji wa HOSTEL maana zipo na demand kubwa sana Kwa wanafunzi.
-Ni nadra sana kupata eneo KUBWA Kwa bei ya hivi mitaa karibu na Mlimani city.
-Uwekezaji unahitaji Leo yako na sio kesho yako. WEKEZA SASA
📝THAMANI YA ENEO
-Eneo Kwa sasa ipo na nyumba kubwa ndani yenye wapangaji , nyumba ndogo na fremu 5 za biashara Kwa nje.
-Kodi ya nyumba kubwa ni 900k Kwa mwezi , nyumba ndogo ni 300K , fremu zote Kodi ni laki 2 kwahiyo jumla ya Kodi zote Kwa mwezi ni 2.2Million.
-Kodi Kwa mwaka ni 24Million na hizi ni nyumba ambazo hazipo kwenye hali nzuri. Kwa maana hiyoo soko la makazi kwenye huu ni mtaa ipo juu sana📍
❗NJOO UWEKEZE SASA✅📝
CONTACT
Normal Call : 0624209485
Whatsapp : 0626614198
IMPORTANT
Service Charge : 50k for site visit



















