Nyumba inapangishwa Moshono, Arusha


Inapangishwa moshono kona arusha
Nyumba ipo karibu na barabraa sanaa
⚜️ni chumba kimoja cha kulala
⚜️ina sebule kubwa sanaaa
⚜️Ina jiko lenye makabati
⚜️Ina choo ndani
⚜️Ina heater ya maji moto
⚜️Ina parking
⚜️umeme unajitegemea
♻️Bei ni 230,000 kwa mwez
🏷Call 0758105801/0693412119