Nyumba inapangishwa Msalato, Dodoma


APARTMENT NZURI SANAAA INAPANGISHWA MPYAA
📍MAHALI - MSALATO
🚪 MUUNDO
~~Vyumba V2 vya kulalaa (VYOTE MASTER)
~~sebule kubwa
~~Dining
~~jiko zuri
~~Public toilet
______________________________
HUDUMA
—HEATER BAFUNI
~~Maji yapo muda wote
~~Umeme upo unajitegemea
~~Parking space kubwa
~~iko ndani ya fence
~~usalama wa kutosha
______________________________
💰MALIPO
~Bei ni 350,000 @ mwezi
~Muda wa malipo miez 3+
______________________________
NB; MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA..ATALIPIA MTEJA
☎️ MAWASILIANO
+255 (0) 752444581 call/ wtsp
🏃♂️Gharama za kwenda site ni 10,000#