Nyumba inapangishwa Msasani, Dar Es Salaam


VYUMBA VIWILI VYA KULALA, SEBULE, JIKO NA CHOO
160K KWA MWEZI ..... MWEZI MMOJA WA DALALI
NYUMBA IPO ZARA TOUS BARABARA YA MSASANI MOSHI
NAULI MIA TANO MPKA STAND YA MOSHI MJINI
KWENDA KUIONA NI ELF 10 .