Nyumba inapangishwa Mzumbe, Morogoro
APARTMENT HOUSE FOR RENT
VYUMBA_TATU
INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-TEGETA MZUMBE
______________
KODI TSHS LAKI 400,000/=KWA MWEZI
_________________
MALIPO YA MIEZI 6
_____________
YA KIFAMILIA
_______
YENYE:-
Vyumba vitatu vya kulala Masta #Sebule #Jiko zuri la kisasa #Choo/#Bafu vya ndani public
#Gypsum #Tiles
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo kubwa
Nje #Pavingblocks
#FencedApart
____________
PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1 WA 0789768988