Nyumba inapangishwa Nkuhungu, Dodoma


APARTMENT NZURI SANA NAPANGISHA
LOCATION-NKUHUNGU /SINGIDA ROAD
MUUNDO WAKE
VYUMBA V2 VYA KULALA VYOTE NI MASTER
SEBULE
JIKO ZURI
PUBLIC TOILET
HUDUMA
MAJI
UMEME
PARKING SPACE IPO KUBWA
ZIKO KWENYE COMPOUND
PERVING BLOCK ZIPO
BEI-300,000/=MWEZI
MUDA WA MALIPO-MIEZI 03+MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI UTALIPA MPANGAJI
GHARAMA ZA KWENDA SITE-10,000
MAWASILIANO TUPIGIE
0653232555/0682737603