Nyumba inapangishwa Olasiti, Arusha


Inapangishwa olasiti jirani na mjengoni arusha
Ni nyumba mpyaaa
Ni nyumba yenye room mbili za kulala moja master
Ina sebule na jiko
Ina dairning.
Ina public toilet
Ina heater system
Inajitegemea umeme.
Ina parking
Zipo nyumba nne zote zipo wazi
Bei 330,000/=kwa mwez
Call 0758105801/0693412119