Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


ππ‘STAND ALONE INAPANGISHWA VYUMBA VINNE(4) , MASTER MBILI(2), SITTING &DINNING ROOM, SEBLE YA WATOTO, JIKO NA SITOO YAKE,, MAJI DAWASA NA KISIMA KIPO 24HR, FEC NA LUKU YAKJITEGEMEA.
ππ¦BEI LAKI TATU NA NUSU (350, 000/=) KWA MWEZI MKATABA MIEZI SITA (6), NYUMBA IPO TAYARI KWA KUHAMIA IMESHAFANYIWA FINISHING YA LANGI.
ππIPO PUGU KAJIUNGENI, WILAYA ILALA, DAR ES SALAAM.
ππ0712315920. CALL&WHTSPPY.24HR
ππ β0762102059. CALLLL. 24HR