Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA (INAFANYIWA FINISHING)
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO. UMEME INAJITEGEMEA, MAJI DAWASA YANATOKA CHOONI MASAA 24.. TENKI LIPO
INAFANYIWA FINISHING ZOTE, CHOONI INAWEKWA SHOWER 🚿 NA RANGI INAPIGWA SAFI KABISA..
KODI: 100000 KWA MWEZI, MALIPO MIEZI SITA.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.