Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER KINAPANGISHWA
NIKIKUBWA, KIKO NDANI YA FENSI, MAJI YANATOKA CHOONI MASAA 24 NA KIKO KARIBU NA BARABARA.
KINARUDIWA RANGI.
LOCATION: PUGU KAJIUNGENI.
KODI: 60000 KWA MWEZI, MALIPO MIEZI MITATU.
MALIPO YA DALALI 60000.
CONTACT 0614130017
0788156493
0760053111