Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA.. APARTMENTS MBILI MPYAAA ZOTE ZIKO WAZI. WAHIIIIIII CHAP!!
NI CHUMBA, SEBULE, JIKO NA CHOO CHA NDANI.
MITA YA MAJI NA UMEME INAJITEGEMEA KILA MOJA.. MATENKI YAPO MAJI MASAA 24, NYUMBA IKO NDANI YA FENSI.
KODI: 140000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
AU 130000 KWA MWEZI, MALIPO MIEZI 6.
LOCATION: PUGU, KITUO KISUMU.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.