Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
KUNA CHUMBA, SEBULE, CHOO PUBLIC CHA NDANI NA JIKO LA NNJE. UMEME INAJITEGEMEA MAJI YAPO YA DAWASA.
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI.
KODI: 100000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU KONA MATAA.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.