Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA (NYUMBA MPYA)
CHUMBA MASTER NA SEBULE.. UMEME INAJITEGEMEA NA MAJI INAJITEGEMEA, MAJI YANATOKA CHOONI, NYUMBA IKO NDANI YA FENSI.
LOCATION: PUGU KWA RAIS
KODI: 130000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE..
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.