Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA NI MPYAAAA.. BADO KIDOGO KUKAMILIKA.
INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA MASTER | SEBULE | JIKO LENYE KABATI | FENI CHUMBANI NA SEBULENI | KABATI LA NGUO CHUMBANI | MAJI MASAA 24 HAUTAPATA SHIDA YA MAJI KAMWE | MITA MAJI NA UMEME UNAJITEGEMEA.
π»LOCATION: PUGU, KITUO SECONDARI.
π° KODI: 200000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU KWA AMBAYE HANA HARAKA YA KUAMIA.
βοΈ CONTACT: 0692423138 / 0719115949.