Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYAAA INAPANGISHWA
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO LENYE KABATI.
FENI SEBULENI NA CHUMBANI, UMEME INAJITEGEMEA, WAPANGAJI WAWILI TU, TENKI LIPO..
LOCATION: PUGU SEKONDARI.
KODI: 200,000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI 6.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.