Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA, APARTMENT ZIPO TANO
INA CHUMBA MASTER NA SEBULE. MAJI YAPO DAWASA YANATOKA CHOONI, NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, MAZINGIRA YA UTULIVU.
KODI: 100000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
LOCATION: PUGU SHULE YA MSINGI.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.