Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







VYUMBA MASTER VINAPANGISHWA (NI VIPYAAA)
VIKO NDANI YA FENSI NA MAJI YAPO YA (DAWASA).
KODI: 80000 MALIPO KWANZIA MIEZI MITATU.
NYUMBA ZIKO KWENYE FINISHING.
LOCATION: PUGU KISUMU
SIMU 0659336751 WSP 0786085637