Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam
WALE WANAOPENDA NYUMBA MPYAAA HII HAPA 👇👇
HAPA KUNA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO FENI SEBULENI NA CHUMBANI. NYUMBA ZIKO TATU TU KWENYE FENSI. TENKI LIPO WANASHEA WAWILI TU.
MAJI NA UMEME MITA INAJITEGEMEA YENYEWE.
KODI: 130000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI, KITUO MAPRESHEN.
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.