Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA
NYUMBA MPYAA, WAPANGAJI WATATU TU, UMEME WANASHEA WATATU, MAJI WATATU NA NYUMBA IKO NDANI YA FENSI. ZIMEBAKI SEHEMU 2 TUรท
CHUMBA SINGO CHA KODI YA 40000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
CHUMBA NA SEBULE, KODI 80000 KWA MWEZI.. MALIPO KWANZIA MIEZI MINNE.
LOCATION: PUGU KWA RAIS
CONTACT: 0788156493 0614130017 0760053111
KUPELEKWA ELF 20