Nyumba inapangishwa Pugu, Dar Es Salaam







NYUMBA INAPANGISHWA (NYUMBA MPYAAA)
INA CHUMBA MASTER, SEBULE NA JIKO LENYE KABATI, FENI SEBULENI NA CHUMBANI NA IKO NDANI YA FENSI.
UMEME INAJITEGEMEA NA MAJI INAJITEGEMEA.
LOCATION: PUGU KINYAMWEZI..
KODI: 130,000 KWA MWEZI, MALIPO KWANZIA MIEZI 6.